Future world tafsiri yake ni ulimwengu ujao! Kimsingi hii ni phenomenon ambayo haipo kwakuwa hakuna mpaka Kati ya ulimwengu wa juzi jana Leo kesho na huo ujao, kila kitu kiko kwenye mnyororo wa moja kwa moja unbroken chain kwamba kinachotokea leo ni matokeo ya kilichotokea juzi na jana na ni mwendelezo mpya wa kile kitakachotokea kesho na hicho kinachoitwa future worldHbr zenu wakuu
Kuna kitu kinaitwa future ningepnd kufaham n ulimwengu wa namna gan? na unakadiriwa kutokea baada ya miaka gan iajayo? na ikitokea hakutakua na future nyingne tena? vitu gan na maisha gan ambyo watu wa kipind hicho watakua wanaishi? nini madhara na faida yake? na je vipi kwa upande wa nchi zetu za afrika kunaweza kuwa na mabadiko ya kuwa sawa na wenzetu katikakatika kipndi hicho?
Nawasilisha