MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,580
Nipo tayari kukupokea haney karibu tulifufue upya.
Fidel ebu mwache binti wa watu mbona unamkosesha raha jamani? MJ1 endelea kujifariji bwana achana na kaka zako bwana, 'haweshi' mambo ati!Nipo tayari kukupokea haney karibu tulifufue upya.
Ndo umeshamwaga jamaa mpwa aanze kusarandia?
Crispin mwache kwanza MJ1 atulie.
Fidel ebu mwache binti wa watu mbona unamkosesha raha jamani? MJ1 endelea kujifariji bwana achana na kaka zako bwana, 'haweshi' mambo ati!
Huyu analipenda limtu lisilo mpenda na kumjali sasa mm nampenda yeye hanipendi umeona sasa ni vice versa mtu umpendae yeye hakupendi na unae mpenda nae hakupendi.
Atulie kivipi mamii, anahitaji kuchangamshwa, si kuachwa. Ebo!
Ni kweli anahitaji kuchangamshwa ila haya mambo ya kumwambia sijui nani amsarandie bado ni mapema ujue bado ana maumivu,cha muhimu tuwe naye karibu,tumtie moyo.
Kusarandiwa ni sehemu ya kuchangamshwa mamii. Msindima acha kumwekea mpwa wangu kauzibe.
Kusarandiwa ni sehemu ya kuchangamshwa mamii. Msindima acha kumwekea mpwa wangu kauzibe.
Simwekei kauzibe,ye ajichangaye tu,ila kwa sasa tumfariji mwenzetu.
Haya mfariji huku ukinipigia pande basi. Kama una mdogo wako yupo yupo mm naoa 2012 fanya mchakato basi Msindima.
Wasalaamu salamuni, waungwana nawajia
Mababu wa mizimuni, walokwisha tangulia
Najongea kwa huzuni, najizuia kulia
ulimwengu wa mapenzi, buriani aagia
Ulimwengu wa mapenzi, buriani naagia
naondoka kwa majonzi, mlango najifungia
Si wangu nimemaizi, moyo nafungulia
Ninakupa zako mbawa, uruke unakotaka
Ninakupa zako mbawa, uruke unakotaka
Umeyataka mabawa, meupe yaso na taka
Nimechoka kupagawa, na penzi lenye mashaka
Ulimwengu wa mapenzi, nawaachia wenye bahati.
Ndio maana wengine wameamua kuwa matowashi-masista na mapadri,lakini mnawabeza wakati ulimwengu wa mapenzi nao maumivu.
Bravo masista na mapadri!
hahahahahaaaa.Haya Bwana .Pengine ushawahi kulizwa na mapadri,Aisifuye mvua..........Kama ulikuwa hujui, hakuna watu wanaomegana kama hao binadamu. Lol! Nikimwona padre karibu na shori wangu patakuwa hapatoshi.