Hapa naamini shughuli ilikuwa pevu
Nani aliwafundisha? Inanipa kuamini hata ugunduzi/uvumbuzi wa mambo tuliyoyakuta yalikuja automatically yani ni kama ubongo una download ujuzi kutoka kuziko julikana na kisha unafanya mambo makubwa yanayo onekana. Hii ipo kiroho zaidi
I will be the first to land my foot on my enemy's soil and I will be the last to lift my leg from that land. And I shall leave no one behind.
HahahahaI will be the first to land my foot on my enemy's soil and I will be the last to lift my leg from that land. And I shall leave no one behind. View attachment 2114133
OkIla huwezi kuamini kwa wachina eti ni bahati