Mh! Hii ni kweli!!? Mbona kutakua na ndege wengi sana wafu hapo
Bundi toleo jipya! Hawa bado hawajaanza kutumiwa na nanihii
Hivi kiongozi! Huyu kiumbe ni 7bb gani haswa hua zinampelekea kukaa kwa kuning'inia kichwa chini migui juu!!?
Huyu ni adobe
Huyu ni ndege au kicheche
NdegeHuyu ni ndege au kicheche
Kumbe nao wana matege!