Artificial intelligence
JF-Expert Member
- Jan 28, 2021
- 1,265
- 2,252
ULIMWENGU WA ROHO
Ni sehemu ambayo nafsi (soul's) mbili hukutana pamoja.
Ni kweli kwamba kila nafsi hurudi kwenye ulimwengu wa roho Ila dini imetufanya tufikirie zaidi kuhusu mbingu na peponi na hiyo nadharia ndiyo inayo tufanya tushindwe kufikiria kwamba kuna uwezekano mkubwa wa nafsi mbili kukutana sehemu moja, ambayo ni ulimwengu wa roho.
Katika kuielezea hii dhana nzima ya ulimwengu wa roho ntatumia maeneo kadhaa kama alivyo andika James Van Praaph kwenye kitabu chake cha "Adventures of the Soul" kama moja wapo ya ushahidi wa kisayansi unaozungumzia ulimwengu wa roho, ili uweze kuwa na uelewa mpana jinsi ulimwengu wa roho unavyofanya kazi.
WORLDS WITHIN WORLDS
Walimwengu ndani ya walimwengu, kila mtu aliwahi kusikia neno "walimwengu" na sio geni, bhasi katika materialism ulimwengu ndani ya ulimwengu ni udhibitisho kwamba kuna ulimwengu wa roho.
Ulimwengu wa roho "a place of Divine order" ni eneo ambalo nafsi uingia na kutoka muda wote. Mara nyingi nafsi uingia kwenye ulimwengu wa roho kupitia ndotono ambao uambatana na nishati, nafsi inapokuwa inaachana na mwili utetema na katika kutetema huko ufanya Ile code "silver code" iliyoshikilia nafsi na mwili kuachia , ndipo hapo uelekeo wa nafsi kwenye ulimwengu huweza kutambulika. Hapa ndipo tunasema quantum mechanics meets consciousness, katika kitabu chake hicho James Van Praaph ameandika" Some humans who made a conscious effort to use their free will to raise the energy of love on Earth will gravitate to the corresponding level in spirit, and those who lowered the energy Will gravitate to different level". Kwahiyo unaweza kuona jinsi gani quantum mechanics inakutana na ufahamu katika dhana nzima ya ulimwengu wa roho. Kuzimia na kupata fahamu tena, kuchukuliwa na mizimu, wachawi, majini na kurudishwa tena ni udhibitisho tosha kwamba kuna ulimwengu ndani ya ulimwengu.
THE ASTRAL WORLD
The astral world au astral plane ni sehemu ambayo nafsi uingia wakati inaporudi kwenye ulimwengu wa roho.
Ulimwengu huu tunaweza kuufananisha na kituo cha mapokezi, ambapo kila nafsi inakutana na familia, marafiki wa kipindi cha nyuma ambao nafsi hiyo iliwahi kuhusiana nao. Nafsi inapofika katika ulimwengu huu ukutana na vitu vizuri Sana na vyenye thamani Kama nyumba, magari, barabara,miji, mito, maji na bahari, bustani nzuri kama ilivyo kwenye ulimwengu wa dunia(physical world). Ulimwengu wa Astral utengenezwa kwa fikra (thoughts),na kila kitu uonekana kuwa cha mwanga na asili. Mara nyingi nafsi ufika katika ulimwengu huu wa roho kupitia kutoka nje ya mwili, meditation or astral projection practices. James Van Praaph ameandika hivi "Everything that has existed, exist now, or will exist is happening concurrently". Hapa mtu husimulia mambo mengi aliyokutana nayo alipokuwa kwenye ulimwengu wa Astral, utasikia mtu nimeona nyumba nzuri, au bustani nzuri n.k kwahiyo huyo mtu nafsi yake inakuwa imetoka kwenye huu ulimwengu.
THE ETHEREAL WORLD
Huu ni ulimwengu ambao nafsi uingia itokapo kwenye ulimwengu wa Astral. Ni ulimwengu wa fikra, nafsi ikifika hapa inakuwa kwenye ulimwengu wa fikra "Thought plane", ulimwengu huu utetema zaidi kuliko ulimwengu wa Astral, kwahiyo nafsi iliyopo katika ulimwengu huu, inakuwa na uwezo mkubwa sana wa fahamu "consciousness", hivyo fikra zenye mawazo chanya, nafsi yake inakuwa kwenye ulimwengu wa asili "Ethereal", ulimwengu huu una sifa ya kuwa na nafsi zenye pure mind and thoughts zilizojawa na upendo, ukweli wa hali ya juu , "It interacts with our mental selves and helps create abstract thoughts and acts as the doorway for higher levels of wisdom to come down and integrate with the lower aspects of our being" ameandika hivyo James Van Praaph.
Riwaya ya The Brief History of the Dead by Kevin Brockmeier, mwandishi anaonyesha kwamba katika Imani ya makabila ya kiafrika, watu wamegawanyika katika sehemu kuu tatu, humans- those still alive, sasha- the recently departed and zamani- the dead. Kwahiyo hakuna ukomo kwa kile nafsi inaweza kufanya, manifest au jinsi inavyoweza kugawa ufahamu wake. Kwahiyo nafsi haiendeshwi na mitazamo yetu ya nafasi au muda.
THE CELESTIAL REALM
Huu ni ulimwengu wa roho ambao nafsi inakuwa na uwezo mkubwa wa kiroho na Imani na mara zote nafsi zilizopo katika ulimwengu huu zimejitofautisha kabisa na nafsi nyingine zote. Ulimwengu huu ni ulimwengu wa roho wa malaika "Angelic Realm". Hapa ndipo zilipo nafsi za mitume na malaika wote zilipo, kwahiyo hata Jesus, Mohammed, and Buddha wapo katika ulimwengu huu na hakuna tena kutokuwepo na mbigu au hukumu katika ulimwengu huu. Nafsi zilizopo katika ulimwengu huu hazina uchoyo, ubinafsi, zinabariki na zina upendo safi. James Van Praaph ameandika hivi"The beings on the celestial realm realize, on some level, that they are one with spirit, and although they have reached the path to love, they are still evolving and are always willing to give help to all who ask". Kwahiyo nafsi zilizopo katika ulimwengu huu wa roho usikiliza na kubariki maombi ya watu bila ubaguzi wowote.