Ulimwengu wa Roho

Kumbe ntakutanana tena na mchepuko wangu
 
Binafsi huwa nafurahia na napenda sana matukio ya ndotoni kuliko maisha halisi. Nafurahi sana ukifika muda wa kulala maana ndio naelekea kuishi!
Na ikitokea siku nimeota 'wet dream' huwa najiona mwenye hatia kuliko! Yaani siku nzima nashinda sina raha.
Lakini nimegundua nikisali kabla ya kulala, 'wet dreams' zinapotea na ninarejea kwenye zile ndoto zenye mafumbo/maono ambayo kuzitafsiri inakua mtihani.
Kiujumla maisha ya ndotoni yako poa sana kuliko hali halisi.
That is my perspective.
 
Haya ndio yale mambo ya inception (2009)
 
Ulimwengu wa roho ni pale mwili unapokutana na nafsi au roho ambayo haina mwili.
Ni mawasiliano kati ya MTU halisi na viumbe au kiumbe ambacho hakija vaa mwili.
Kesho nitatoa somo usikose
Mwili hauwezi kukutana na nafsi, japo mwili ni "roho kama nafsi", kwahiyo bila roho mwili haujakamilika na roho bila nafsi haijakamilika. Mfano mtu akifarika wanasema amekata "roho" na sio amekata "nafsi" kwa maana hiyo soul (nafsi) is "our eternal".
 
Ulimwengu wa roho ni pale mwili unapokutana na nafsi au roho ambayo haina mwili.
Ni mawasiliano kati ya MTU halisi na viumbe au kiumbe ambacho hakija vaa mwili.
Kesho nitatoa somo usikose
Una maanisha kuwa wanaofanya meditation ndio wahanga wakubwa wa kuacha mwili wao loose na kuingiliwa na watu wengine??

Ndio maana haya mambo haya...mmh..mi naonaga mawenge tuu[emoji23][emoji23]
 
Mwili hauwezi kukutana na nafsi, japo mwili ni "roho kama nafsi", kwahiyo bila roho mwili haujakamilika na roho bila nafsi haijakamilika. Mfano mtu akifarika wanasema amekata "roho" na sio amekata "nafsi" kwa maana hiyo soul (nafsi) is "our eternal".
Ila usibishe sana, tusubiri funzo lake, huenda tukaelewa kitu..
 
Nadhani bado hamjaelewa astal projections ni nini

Astral projection ni ile hali ya mtu kutengana na mwili wake kimawazo pili katika ulimwengu wa ndoto hakuna majinamizi kuna loho chafu Mara nyingi loho hizi chafu utaziona pale inapotokea vita kati ya malaika na hao loho wachafu vita hivi huwa ni vikubwa sana utakapo ona vita hiyo unatakiwa uondoke maana utakuwa na uwoga mwingi sana .utaweza kutarii katika sehemu mbalimbali ila katika vitu vyote mwanadamu ananguvu kubwa sana kuliko majini Ila mpaka kipindi utakapo jua kuzitumia kwa sababu astral sio kwenda kutarii tu kunakujifunza vitu vingi.kuhusu mtu kumwona marehem au mtu aliewahi kufa ni ngumu sana labda utumie meditation ili roho yake uiite nayo itakuja ila by using astral mpaka uwe mzoefu sana lasi hivyo hutoweza

.kuhusu swala la mtu kuja kukutikisa alafu ufe kwakweli haiwezekani labda uwe ndo siku uliyo pangiwa msiwe waoga nyie ndio wajenzi wa hii dunia ukifanikisha utajifahamu wewe ni nani na unatakiwa ufanye nini.kuhusu swala LA kufanya miujiza ni ngumu labda uwe unafanya meditation kwa kutumia astral inawezekana ila usizuru watu au kuzionyesha maana nguvu hizi ni kubwa sana hazina kiwango mfano kufaham mambo yanayokuja mbeleni kubwa na speed like the flash or sonic ,macho kuwa yanatoa mwanga, mikono kuwa na nguvu zisizo za kawaida, na kuwa na nguvu za kuelea angani,kupoterea (teleport), kuwa mbunifu,kuwa na uwezo wa kuponya jeraha na isibaki hata alama ndani ya sekunde moja ukiwa na nguvu majini wala wachawi hawata kusogerea nguvu ya mwisho kabisa ambayo hata ufight vipy kuipata tz ni kumfufua marehemu hii mungu anajua siri pekee hata maraika ukiwauliza watakwambia hii huruhusiwi kuifahamu maana itatumika vibaya kama baadhi ya wanadam wanaoitumia nguvu hiyo kwa kutumia majini sio jambo zuri kabisa maana kuna baadhi ya majini ambao mungu aliwapa nguvu za kuamsha wafu na hata baada ya kufukuzwa mbinguni waliachiwa nguvu hizo ingawa sio kwa kiwango kikubwa ni kwa kiwango kidogo sana na baadhi walinyang'anywa kabisa nitaendelea kuwajuza mengi zaidi ingawa kuna watu mnakata tamaa baada ya kuongopeshwa kwa maneno ya watu pia kuna wengi mlijalibu hamkufanikisha wengine mlijalibu mkahisi kiu mkameza mate kuna baadhi uzalendo uliwashinda mkajigeuza ASANTENI SANA TUTAKUTANA KWA AJIRI YA MAFUNZO ZAID
 
Interest...
 
Jifunze kuweka vituo baada ya kila sentensi pamoja na koma.
 
Ndugu, "objective" ya mada naona hujaielewa vizuri, "Astral projection, meditation" hizo mada mbona watu wameishaandika Sana humu JF, katika ulimwengu wa roho kilicho ongelewa hapa ni "astral world".
 
Kunapicha ambazo nimejalibu kuzitafuta zitawapa maana ya jambo frani
 

Attachments

  • FB_IMG_16161810841082184.jpg
    20 KB · Views: 34
Una kazi gani hivi ulimwengu wa roho ?
Kuna Ulimwengu wa roho(usionekana) na ulimwengu wa mwili(yaani huu utunaoishi,unao onekana)!

Ulimwengu wa roho ndo msingi wa haya unayoyaona,kwa kifupi ni ulimwengu mama!

Kila unachokiona kwenye ulimwengu wa mwili lzm kianzie kwenye ulimwengu wa roho kwanza,kwa kifupi,mwilini ni matokeo tu,ya kile cha rohoni!

Ulimwengu wa roho ni halisi zaidi ya ulimwengu wa mwili!kwa sbb kila unachokiona lzm kianzie huko kwanza mwilini ni matokea tu.

Watu wa Giza wanajua sn haya kuliko wengine!
Sijui km utakuwa umepata kitu!
 
Ayubu 33:14-17
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…