Ulimwengu wa Siri wa P Didy umefichuliwa

Huyu Didy ni jini au? Yaani masaa 24 anakula ngozi tu bila kuchoka? Na hapo anakuwa amewajaza mademu kibao. Mwendo wa bangi na madawa ya kulevya tu. Na alikuwa anawachosha vibaya mnoo
 
Bad boy
 
Huyu Didy ni jini au? Yaani masaa 24 anakula ngozi tu bila kuchoka? Na hapo anakuwa amewajaza mademu kibao. Mwendo wa bangi na madawa ya kulevya tu. Na alikuwa anawachosha vibaya mnoo
Hakuwa akifanya yeye muda wote, saa zingine anamtumizia demu kwa wanaume wengine.
Wanawake walifanywa non stop
 
Dah, kweli Diamond Platinumz atakuwa anajiskia vibaya sana kusoma habari kama hizi, inabidi tu Zuchu ambembeleze zwazwa wake na kumpaka mafuta mgando mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…