Kura za udiwani ubunge ni rahisi sana kuzilinda kuliko za urais.
Diwani akisha tangazwa mshindi basi husahau ulinzi wa kura za ubunge. Naye mbunge akisha tangazwa mbunge husahau ulinzi wa kura za rais
hapo ndipo chakachu .........aaaa inapokuwa kubwa .
si rahisi hivyo, kwa kutegemea mawakala tu ni pamoja na ulinzi shirikishi wa watu wa diwani na wambunge. Kama wanavyo ng`ang`ania kura za mbunge sisomwe ndivyo wahakikishe kura za rais kira kituo kabkla ya kushangilia ushindi wa diwani na kusambaa!hata hivyo kura toka kila kituo zaweza thibitisha nani kashinda bila kutegemea za tume ccm.
kura za udiwani ubunge ni rahisi sana kuzilinda kuliko za urais.
Diwani akisha tangazwa mshindi basi husahau ulinzi wa kura za ubunge. Naye mbunge akisha tangazwa mbunge husahau ulinzi wa kura za rais
hapo ndipo chakachu .........aaaa inapokuwa kubwa .