beth
JF-Expert Member
- Aug 19, 2012
- 3,880
- 6,368
Wakati mwingine Taarifa hukusanywa kwa nia njema, lakini Changamoto ni kwamba wengi hawana namna ya kuzitunza
Kwa mfano, mara nyingi unatakiwa kusaini kabla ya kuingia Ofisi mbalimbali. Je, taarifa zako zinahifadhiwa wapi?
Kuwepo Sheria ya Ulinzi Wa Data kutasaidia kufahamu taarifa zinahifadhiwa na nani, na usalama wake upoje