beth JF-Expert Member Joined Aug 19, 2012 Posts 3,880 Reaction score 6,368 Jan 27, 2022 #1 Wakati mwingine Taarifa hukusanywa kwa nia njema, lakini Changamoto ni kwamba wengi hawana namna ya kuzitunza Kwa mfano, mara nyingi unatakiwa kusaini kabla ya kuingia Ofisi mbalimbali. Je, taarifa zako zinahifadhiwa wapi? Kuwepo Sheria ya Ulinzi Wa Data kutasaidia kufahamu taarifa zinahifadhiwa na nani, na usalama wake upoje
Wakati mwingine Taarifa hukusanywa kwa nia njema, lakini Changamoto ni kwamba wengi hawana namna ya kuzitunza Kwa mfano, mara nyingi unatakiwa kusaini kabla ya kuingia Ofisi mbalimbali. Je, taarifa zako zinahifadhiwa wapi? Kuwepo Sheria ya Ulinzi Wa Data kutasaidia kufahamu taarifa zinahifadhiwa na nani, na usalama wake upoje