JamiiTalks
JF Advocacy Team
- Aug 7, 2018
- 685
- 1,124
Fuata njia zofuatazo ili kujua kama kuna mtu anafuatilia mazungumzo kwenye Simu yako. Njia hii inatumika kwenye Simu janja (Smart Phone na zile za kawaida)
Anza kwa kupiga *#61# kisha bonyeza alama ya kupiga kama italeta majibu “FORWARDED“ basi ujue kuna mtu anafuatilia mazungumzo/ujumbe mfupi wa maneno unazotuma
Na iwapo itaonyesha neno “NOT FORWARDED” basi tambua kuwa uko salama katika mazungumzo na jumbe fupe unazozituma kupitia simu yako
Kuondoa au kumzuia mtu asiendelee kufuatilia mazungumzo yako piga ##21# na utaondoa
Upvote
3