Ulinzi wa Rais uimarishwe kuna uzembe unafanyika maeneo muhimu

Ulinzi wa Rais uimarishwe kuna uzembe unafanyika maeneo muhimu

Status
Not open for further replies.

britanicca

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Posts
16,295
Reaction score
33,994
Kuna uzembe mkubwa sana katika ulinzi wa Rais,
Watu wanadhani kuwa na bodyguard wengi au magari mengi ndiyo ulinzi husika

Nimenusa jambo kwenye maeneo haya matatu

Kuna uzembe sana kwa Mawakala Maofisa wa ulinzi wa karibu (CPOs): Mawakala waliofunzwa sana wanaomlinda rais saa nzima Maafisa wa Idara ya Uniformed:

Doria mitaani na bustani karibu na Ikulu Mawakala maalum: Waliopewa kazi ya kudumu kumlinda rais na watu wengine mashuhuri Mifumo ya usalama Vituo vya amri vya anga na ndege za kivita kuna uzembe mkubwa fanyeni reshuffle

ulinzi wakati wa ndege inayombeba Rais kunapwaya

Niliwahi Shauri wakarekebisha hapa awali, Soma Baada ya kudokeza ulinzi wa Rais uimarishwe naona mtu kabadilishiwa majukumu, ni mkuu wa Misafara ya Rais


Britanicca
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom