Ulinzi wa simu

wanatamani

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2011
Posts
415
Reaction score
145
Naweka program kwenye simu kwa ajili ya ulinzi na kuitrack kujua ipo wapi, na atakayekuwa anaitumia baada ya kuibiwa anaitumia kwa namba gani. Utaipata tu ukitokea imeibiwa. PIA TUNATOA USHAURI NA KUKUELEKEZA KUTUMIA SIMU YAKO , na kuweka WHATSAPP, FACEBOOK , VIBER, SKYPE NA MITANDAO YOTE YA AINA HIZO. Tupo mwanza MLANGO MMOJA 0687-387545
 
Kwa hiyo ili watu wapate hiyo huduma yako ni mpaka wasafiri kuja Mwanza?!
 
Nimejitambulisha nipo mwanza. So ikiwa upo mwanza inakuwa poa sababu lazima upate na maelekezo , hata kwa wale wanaopenda ugonjwa wa moyo yaani presha kufuatilia mime au mke yupo wapi
 

:coffee:
 

A serious gov should be investing in this young talents! Kimtindo tutapata wataalam km wachina wanavyo fake nokia samsung nk na sie tutakuwa tuna fake the faked from chinese, na hakuna tatizo. Mambo ni mdogomdogo but a gov should put an investment!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…