Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
=====Kwa nchi kama Marekani, wagombea uraisi wote wa vyama vikubwa (Republicans na Democrats) hupewa ulinzi Secret Service wakati wa kampeni hadi uchaguzi unapoisha.
Je kwa Tanzania, wagombea kama Dkt. Slaa na Ibrahim Lipumba wana ulinzi gani? Najua Kikwete kwa vile ni incumbent anapata ulinzi wake wa kila siku kama raisi. Hawa wengine inakuwaje....au vyama vyao ndio vina jukumu la kuwapa ulinzi?
Je inaruhusiwa kuomba ulinzi toka nje kama FBI na CIA?? labda wapinzani wanaweza kuomba msaada wa ulinzi kama hawana imani na ulinzi uliopo chini ya chama pinzani, inakubalika hiyo????