Iko ivi ukifungua kampuni haukadiriw huwa unajikaditia mwebyewe tunaiita self assessment kwamba utapata revenue kiasi gani then mama unaona hutapata any revenue unajaza nil kwenye zile return ivo normally mi ninavyojua most tax inakatwa after kujikadiria na wakangalia mama return yako ikoje hope nimekupa mwanga asnatehNaomba msaada Wa anaye jua ishu za kulipa makadirio TRA: MTU kafungua kampuni mwezi August, 2016: akakadiriwa mwezi sept alipe sh 500,000. Kufikia DEC 31: Sasa hajafanya chochote kibiashara, hata hajaanza , anashindwa kulipa Anafanyeje, na atafanyajwe na TRA asipolipa? Msaada tafadhari.
Naomba msaada Wa anaye jua ishu za kulipa makadirio TRA: MTU kafungua kampuni mwezi August, 2016: akakadiriwa mwezi sept alipe sh 500,000. Kufikia DEC 31: Sasa hajafanya chochote kibiashara, hata hajaanza , anashindwa kulipa Anafanyeje, na atafanyajwe na TRA asipolipa? Msaada tafadhari.
Uko sahihi ndugu. Aliyeuliza hili ndo jibu.Nimesajili Kampuni Yangu hivi karibuni, hiyo self assessment, ni wewe unasema/ unajaza unavyoona utaweza kuingiza sh. ngapi. Sasa inategemea na unachokisema, unavyojikadiria na hapo ndio watakavyokupigia hesabu. Mimi haikuzidi hata elfu 45000/=.
Tunahitaji waturudishie chanel zetu za bure kama walivyohaidi la sivyo waturudishie analogia yetu maana antena bado tunazo. Huu ni unyonyaji mkubwa na ni laana kubwa kumnyonya maskini hata kwa kile kidogo alichonacho.