jiwe angavu JF-Expert Member Joined Aug 28, 2015 Posts 22,569 Reaction score 43,614 Dec 1, 2025 #1 Wrong audience. Hao wazee wamejichokea wamebaki kulea wajukuu na vitukuu hawana mawazo mapya. Watatoka hapo wakikusifu mana hawajui walijualo wanasubiri tu ile pekeji yako wakanywe kahawa. Hao wazee ni wazee wa sisiem hawana jipya. Tafakari.
Wrong audience. Hao wazee wamejichokea wamebaki kulea wajukuu na vitukuu hawana mawazo mapya. Watatoka hapo wakikusifu mana hawajui walijualo wanasubiri tu ile pekeji yako wakanywe kahawa. Hao wazee ni wazee wa sisiem hawana jipya. Tafakari.
PAGAN JF-Expert Member Joined Aug 19, 2014 Posts 13,867 Reaction score 23,482 Dec 1, 2025 #2 Hakuna wazee hapo, ni magumashi wa down town wazee wa buku 7. Wameiba demokrasia kwahiyo lazima watumie kodi zetu kununua watu. Mbwa hawa
Hakuna wazee hapo, ni magumashi wa down town wazee wa buku 7. Wameiba demokrasia kwahiyo lazima watumie kodi zetu kununua watu. Mbwa hawa
Bra-joe JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 1,888 Reaction score 1,570 Dec 1, 2025 #3 Ccm wanaogopa HAKI na GEN-Z. Ukitaja haya maneno mawili matumbo Yao yanapata joto!
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Dec 1, 2025 #4 Wahusika watampandisha presha
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Dec 1, 2025 #5 Ngoja tuone... Cc: Mahondaw
Arya Stark Senior Member Joined Dec 1, 2025 Posts 147 Reaction score 253 Dec 1, 2025 #6 jiwe angavu said: Wrong audience. Hao wazee wamejichokea wamebaki kulea wajukuu na vitukuu hawana mawazo mapya. Watatoka hapo wakikusifu mana hawajui walijualo wanasubiri tu ile pekeji yako wakanywe kahawa. Hao wazee ni wazee wa sisiem hawana jipya. Tafakari. Click to expand... Chimama hawezi kukaa chumba kimoja na Gen Z au kundi la vijana
jiwe angavu said: Wrong audience. Hao wazee wamejichokea wamebaki kulea wajukuu na vitukuu hawana mawazo mapya. Watatoka hapo wakikusifu mana hawajui walijualo wanasubiri tu ile pekeji yako wakanywe kahawa. Hao wazee ni wazee wa sisiem hawana jipya. Tafakari. Click to expand... Chimama hawezi kukaa chumba kimoja na Gen Z au kundi la vijana