Ulipataje Amani ya kweli moyoni?

Ulipataje Amani ya kweli moyoni?

Apollo one spaceship

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2021
Posts
245
Reaction score
457
Je, ni kupitia ngono kupunguza hisia zenye frustrations?
Je, ni kwa kuswali na kusali?
Je, ni kwenye michezo, simu au wapi?
Je, ulipataje amani ya kudumu?
 
Sali na tubu kwa kumaanisha (fuata muongozo wa imani yako) nakuhakikishia utaipata amani ya Kweli na ya kudumu
 
Amani yakweli ipo kwa Kuishi maisha yakumpendeza Mungu.
 
1.Kujiamini.
2. Kushirikiana na wengine.
3.Kuwa na shughuli ya kufanya (Kazi)
4. Kuwa huru.
 
Kwanza kwenye haya maisha tunayoishi "amani ya kudumu" haipo.

Siku zote lazima kuna kitu fulani tu kitajitokeza kukuvuruga.
 
Amani ya kudumu...

Kumfuta kabisa duniani adui yako..maana ukimsamehe yeye hakomi kukuandama..

Nb

Maadui ni wengi..hata njaa na maradhi au umaskini ni adui pia..
 
Use SWOT in your mission .
Strength, Weakness, Opportunity and Threat of what you are up to.

Forgive and Forget.


Eliminate any obstacle.
 
Back
Top Bottom