Apollo one spaceship JF-Expert Member Joined Jan 28, 2021 Posts 245 Reaction score 457 Aug 2, 2021 #1 Je, ni kupitia ngono kupunguza hisia zenye frustrations? Je, ni kwa kuswali na kusali? Je, ni kwenye michezo, simu au wapi? Je, ulipataje amani ya kudumu?
Je, ni kupitia ngono kupunguza hisia zenye frustrations? Je, ni kwa kuswali na kusali? Je, ni kwenye michezo, simu au wapi? Je, ulipataje amani ya kudumu?
Kapeace JF-Expert Member Joined May 26, 2017 Posts 24,514 Reaction score 65,521 Aug 3, 2021 #2 Sali na tubu kwa kumaanisha (fuata muongozo wa imani yako) nakuhakikishia utaipata amani ya Kweli na ya kudumu
Sali na tubu kwa kumaanisha (fuata muongozo wa imani yako) nakuhakikishia utaipata amani ya Kweli na ya kudumu
kajembejr JF-Expert Member Joined Jul 31, 2015 Posts 1,289 Reaction score 1,317 Aug 3, 2021 #3 Amani yakweli ipo kwa Kuishi maisha yakumpendeza Mungu.
Craig JF-Expert Member Joined Feb 9, 2013 Posts 1,512 Reaction score 2,712 Aug 3, 2021 #4 1.Kujiamini. 2. Kushirikiana na wengine. 3.Kuwa na shughuli ya kufanya (Kazi) 4. Kuwa huru.
Dreadnought JF-Expert Member Joined Mar 25, 2013 Posts 2,876 Reaction score 3,942 Aug 3, 2021 #5 Kwanza kwenye haya maisha tunayoishi "amani ya kudumu" haipo. Siku zote lazima kuna kitu fulani tu kitajitokeza kukuvuruga.
Kwanza kwenye haya maisha tunayoishi "amani ya kudumu" haipo. Siku zote lazima kuna kitu fulani tu kitajitokeza kukuvuruga.
Mine eyes JF-Expert Member Joined Apr 11, 2016 Posts 6,496 Reaction score 7,162 Aug 11, 2021 #6 Amani ya kudumu... Kumfuta kabisa duniani adui yako..maana ukimsamehe yeye hakomi kukuandama.. Nb Maadui ni wengi..hata njaa na maradhi au umaskini ni adui pia..
Amani ya kudumu... Kumfuta kabisa duniani adui yako..maana ukimsamehe yeye hakomi kukuandama.. Nb Maadui ni wengi..hata njaa na maradhi au umaskini ni adui pia..
Mr Slim JF-Expert Member Joined Sep 11, 2018 Posts 2,652 Reaction score 5,242 Aug 12, 2021 #7 Use SWOT in your mission . Strength, Weakness, Opportunity and Threat of what you are up to. Forgive and Forget. Eliminate any obstacle.
Use SWOT in your mission . Strength, Weakness, Opportunity and Threat of what you are up to. Forgive and Forget. Eliminate any obstacle.
mbalizi1 JF-Expert Member Joined Dec 16, 2015 Posts 21,057 Reaction score 41,992 Aug 12, 2021 #8 Jikubali na ridhika vile ulivyo