Mtangoo
JF-Expert Member
- Oct 25, 2012
- 6,167
- 5,613
Uzi huu ni kwa ajili ya wale wenye biashara zenye Wateja 100 au zaidi. Ni kwa ajili ya kujifunza tu wala si vinginevyo. Ulitumia mbinu gani kupata wateja 100 wa kwanza?
Changamoto gani ulikutana nazo?
Kama hutajali unaweza kutuambia ni biashara gani ulifanya au unafanya.
Mimi kwa sasa nabaki msomaji tu!
Changamoto gani ulikutana nazo?
Kama hutajali unaweza kutuambia ni biashara gani ulifanya au unafanya.
Mimi kwa sasa nabaki msomaji tu!