Mambo Jambo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2008
- 1,100
- 82
Wajameni, nimeenda kufukua nikaona hii mada, hebu wakuu kama p53, visenti na wengine tusaidieni muendelezo wa hii hoja kwani nijuavyo mimi Cyflow ipo sana ukanda wetu huu africa
Acha uoga nenda kapime bana.
Nadhani itakuwa busara zaidi kuhamasisha watu waende kupimwa hata kama wewe mwenyewe hujapmiwa ama kwa sababu ya woga au kwa kukosa nafasi. Kuna kipindi (na tena inajirudia sasa) kulikuwa na mtawanyiko wa mawazo kwamba kondomu zimewekwa virusi ili kola mtumiaji apate. Majuzi tumesikia Zambia imepiga marufuku aina fulani ya kondomu (sio zote) ambazo hata hapa nchini zipo tele sokoni. Sasa hata kama ANGAZA ni dili la watu, kuna ubaya gani kufanya dili la kusaidia watu?
Kuweka uwongo uliokithiri katika kijiwe kunaweza kuathiri thamani ya kijiwe chenyewe. Ili kijiwe kiheshimike, budi kila mshiriki ajadili hoja zake kisayansi. Huyu mtoa hoja anaturudisha enzi ya mawe ambapo redio ilikaa kwa balozi wa nyumba kumi na hakukuwa na mbadala wa kuverify habari yoyote tuisikiayo kutoka redioni na au gazeti la serikali. Sasa hivi uwongo hutambuliwa haraka sana, dunia ni kijiji kiganjani.
Leka
Oh please Tina! That is a conspiracy theory...come up with a better 1!
1. Most ppl r tested using rapid tests eg CAPILLUS (phasing out now), BIOLINE, DETERMINE. Samples are only sent 2 lab for testing by ELISA(?machine according 2 u) if results of 2 rapid tests are incongruent eg positive Bioline+ negative Determine
2. What the Minister meant by machine is the DNA-PCR machine used to determine viral load i.e amount of virus per microlitre of blood. This is not a primary test of HIV infection (@ least not yet in TZ) It is used for monitoring response to therapy. MoHSW recognizes the 2 probably because they r not there for research reasons as compared to those @KCMC & (?)Bugando
3. Nobody injects a client with the virus! It takes an average of 3-6 months for a person to seroconvert i.e to test positive, so don't paint VCT centres black, they r doing a VERY good job so far, the govt could never have done it alone!
NAWASILISHA

Big up injinia. Ila sielewe sijui kwanini often times when people enter politics their brains are filled with smoke. It is hard to believe that a professor came up with such unfounded allegations. Tuna kazi kwakweli. Hapo Prof. David ameflop!!!!!!

tena biashara inayo ingiza mamilioni ya pesa kila mmoja amekimbilia huko ikitaka kuamini tokea mtu asema amegundua dawa ni wakwanza kuipinga na kuitolea uchambuzi as if wao ndo waliyo igundua,mungu tuepushie hiliSure... HIV AIDS ni biashara ya watu! Inabidi tuwe makini sana ili tusijepotoshwa na hawa watu wenye masilahi binafsi.
This is somehow confusing and controversial, huko Agakhan some three years ago kuna mtu aliwafungulia mashtaka na ishu ilikuwa walimpima wakasema ana ngoma, mbaya zaidi ilikuwa ni siku chache to kabla ya ndoa. Hivyo mchumba akampiga chini.
Sasa leo tunapoambiwa eti huko ndio kwenye mashine genuine haingii akilini.