Ulipitia changamoto gani baada ya kuondokewa na mtu wako wa karibu?

Ulipitia changamoto gani baada ya kuondokewa na mtu wako wa karibu?

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2014
Posts
3,340
Reaction score
4,659
Hivi ulishawahi kuondokewa?

Ulipitia changamoto gani baada ya kuondokewa na mtu wako wa karibu? Either kifo au kutengana what you feel?

Hali yako (personal) katika uchumi, mawazo, jamii ilikuwa ipo katika namna gani?

Je, unaendelea kumkumbuka? Wema na ubaya aliyokutendea?
 
Back
Top Bottom