Ulipogundua ni mke wa mtu, ulichukua hatua gani? uliendelea nae au ulisitisha?

Endelea kusimulia
 
Ukweli wake zà watu hawakatai ila nafasi wengine wanakosa, ndo maana wanapewa mimba na watu wengine, wakipata nafasi tuu hawaangalii siku wala kondomu.
Kwa mtindo huu tunakataa kuoa bado mnatulaumu?

Wamekuwa cheap kuliko hata ambao hawajaolewa
 

Ulipogundua ni mke wa mtu, ulichukua hatua gani? uliendelea nae au ulisitisha?​

Nilivunga kama mwenzi ila nikaona bado anautaka tukaendelea ila badae niliacha kabisaaa.

Mwaka jana mambo nikapata jingine miezi7 nipo nae ndo nakuja kuambiwa baada ya kuomba game akanizungusha nikamwambia sikia mimi nawewe kuanzia sasa hivi kila mtu aendelee na maisha yake.

Ndo akasema mi nimeolewa mme wangu amerudi nashindwa kutoka kabisa subiri uondoke .Daaah huyu bado najilia hadi kesho maana huyu mwanaume mwenzagu yupo nje huwa anarudi mar1 au2 kwa mwaka
 
Duug
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…