Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeyapata sasa ...tuma picha tuyaoneNilikuwa natamani kuwa na matiti
Kwani ndiyo lengo la Huu Uzi wakoUmeyapata sasa ...tuma picha tuyaone
[emoji23]Nilikuwa natamani kuwa na matiti
Mbona wacheka mcheps[emoji23]
Nilikuwa napitaMbona wacheka mcheps
Ulipokuwa mdogo ulitaman Kuwa mkubwa, niambie ni nn kilikuvutia mpka utaman ukubwa je leo hii hujuti kuwa mkubwa!?? I tiririka hapa tuone ni wangani na akina nani walikuwa wanamawazo yanayofanana[emoji16][emoji16]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Nilipokuwa mdogo kama darasa la kwanza hv Pwani Shule ya msngi nilijiapiza sitasoma zaidi ya darasa la pili nilikuwa naogopa kusoma vibaya mnoooo. Nilikuwa nadhani nitashindwa kusoma ila ajabu mpaka nikamaliza fresh tuu nikikumbuka nacheka saaana.[emoji3][emoji3]
Pia nilikua nataka niwe mkubwa ili nimalize shule tuu nikae nyumbani nilikuwa nawaonea wivu saaana watu wakibaki nyumbn mm naenda shule. Darasa la saba nilikuwa natega sana shule!![emoji3][emoji3][emoji3] ila sasa nikamaliza shule nipo mtaani nilitamani nirudi hata shule nikafagie tuu madarasa.