Nilipokuwa mdogo kama darasa la kwanza hv Pwani Shule ya msngi nilijiapiza sitasoma zaidi ya darasa la pili nilikuwa naogopa kusoma vibaya mnoooo. Nilikuwa nadhani nitashindwa kusoma ila ajabu mpaka nikamaliza fresh tuu nikikumbuka nacheka saaana.[emoji3][emoji3]
Pia nilikua nataka niwe mkubwa ili nimalize shule tuu nikae nyumbani nilikuwa nawaonea wivu saaana watu wakibaki nyumbn mm naenda shule. Darasa la saba nilikuwa natega sana shule!![emoji3][emoji3][emoji3] ila sasa nikamaliza shule nipo mtaani nilitamani nirudi hata shule nikafagie tuu madarasa.