Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
akina dada uliweza kumwambiaje mama au baba ako kuwa unamimba wakati bado upo nyumbani? na makaka mliwaambiaje nyumbani kuwa kunabinti anamimba yako? je mlianza kumwambia baba au mama? na ulisemaje?