ulipopata mimba.........

majogajo

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2011
Posts
317
Reaction score
44
akina dada uliweza kumwambiaje mama au baba ako kuwa unamimba wakati bado upo nyumbani? na makaka mliwaambiaje nyumbani kuwa kunabinti anamimba yako? je mlianza kumwambia baba au mama? na ulisemaje?
 
hebu tuambie wewe kwako walisemaje
 
akina dada uliweza kumwambiaje mama au baba ako kuwa unamimba wakati bado upo nyumbani? na makaka mliwaambiaje nyumbani kuwa kunabinti anamimba yako? je mlianza kumwambia baba au mama? na ulisemaje?

Tunapenda kuwaonea akina dada! Kwani weww ukimpa mimba mtoto wa mtu unafanyaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…