Ulipowalundikia Watanzania na ''Mitozo' yako hukuona kuwa unawapa Mzigo? Unafiki wako na Tamaa zako zitakugharimu pakubwa mno?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
"Napendekeza yeyote aliyeko kwenye nafasi ya kuteuliwa, akitolewa lakini akabaki kwenye utumishi wa umma, arejee pia kwenye mshahara aliokuwa analipwa kabla ya kuteuliwa, hii itawapunguzia mzigo watanzania".Waziri Nchemba.

Chanzo: ITV Tanzania

Yaani kuna muda huwa hata navidharau na hivi Vyuo Vikuu vinavyotoa hizi 'Doctorates' kwa Watu wa hovyo hovyo hivi.
 
Chuki zako hazitakubadilisha chochote.
 
Back
Top Bottom