Ulishakoseaga ukachanganya mafaili meseji ya huyu ukamtumia huyu?

mbere

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2015
Posts
6,967
Reaction score
6,465
Daah , nakumbuka nilimtumiaga meseji mamangu, sema baati nzuri dogo alikuwa home na nilimuga akaiwahi
Maza nakumbuka nilimseve mamy , na nilimseve demu wangu may
Daaahhhh wacha kabisa

" baby nimemtoroka maza na kazi zake zisizoisha nakuja fasta "
 
Vyuo vimeshafunguliwa. Nendeni mkasome japo mkopo ndo hivyo tena
 
we unasema simu.
dingi juzi kaenda kufanya shopping ya vitu vidogo sasa kuna kidemu chake pale jirani nae kikaagizia vitu vyake vipafyum viped, epo mzee akajiongeza na bikini moja.
mzee kufika homu akamuita shamba boy akampa maagizo ya mizigo afu yeye akazama ndani.maza aliagizia vitu vya hom maana hana makuu yeye ni lotion zake na mabaibui na dira!dooohh jamaa si apeleke tofauti hiyo mifuko.maza kufungua anakutana na vitu vya ajabu mzee akaitwa ndani halafu dingi alivyo boya badala awe mpole na yeye anawaka shamba boi kubanwa akasema yote!me hapo nimeshakacha siko eneo la tukio kabisa nilirudi usiku nyumba imepoa kama mahakama
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] we ni balaa kwa hiyo umetoa siri ya familia?
 
[emoji3] [emoji2] [emoji1] [emoji467] [emoji23] JF BHANA
 
Ha ha ha kama mahakamaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…