22nd
JF-Expert Member
- Aug 1, 2010
- 494
- 137
Simaanishi yule mliochakachuana, mpenzi ninayemsema ni yule wa enzi zile za kidali poo, kombolela,kucheza ule mchezo wa baba na mama au kama mnakumbuka ule wimbo wa " NILONGE NISILONGEEE!!!!, MWENZENU MZUANDA,MCHUMBA AKEE NI ....." wakishakutajia jina la mchumba ako, unajifanya unalia kumbe huku karoho kanakudunda. i think ni age between 6-10.
Hii inatokea automatic una m fancy mtoto mwenzako (enzi hizo tulikuwa tunasema mchumba) ambaye unadhani atakuja kuwa mume wako, then maisha yanawatenganisha( bila ya mmoja kuwa na maumivu au kumuwaza mwenzake).
Inakuwaje ukikutana na mchumba wako wa utoto baada ya miaka? je yupoje?still anakuvutia kama enzi zile?mnene? au kama alikuwa mnene enzi za utoto,je amepungua? je amefanikiwa kimaisha? maisha magumu?
Sijawahi kukutana na wa kwangu uso na macho,ila namuona tu kwenye kideo, amekuwa comedian... ha ha ha, kind of choka mbaya japo nadhani anajituma.
Wish him all the best.