Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
hivi kuna mtaa kule uswahili enzi zile ambao ulikosa jumba bovu? ila bahati mbaya jumba bovu la mtaani kwetu lilikuwa na mashetani....lol
Mzuanda
Wewe ni mkareee!
Hii ni stori yangu, nilichelewa kuingia darasani (darasa la kwanza) kidogo wakati wenzangu walikuwa weshaanza masomo.
Nilikuwa na miaka 8, siku niliyoingia nilipangiwa benchi la nyuma kabisa, wakati tunataka kutoka siku hiyo nilimuona huyo mtoto.
Anaitwa "Nic", nilipata vihisia ambavyo sikuwahi kijisikia hivyo kabla mbele ya watoto wakike.
Nilimfuata, nikamwambia "wewe ni mchumba wangu"... akacheka tu!
Toka siku ile takaanza uchumba rasmi, na darasa lote lilifahamu hilo.
Niliendelea nae kwa mpaka darasa la saba japo hapo katikati kuna vijimambo vilijitokeza so kukawa kuna kuachana na kurudiana.
Darasa la saba aliniandikia barua rasmi ya kunitamkia kuwa "ananipenda" unaweza ku-imagine hiyo barua... lol.
Mazingira yalibana hatukuwezaga ku-du.
Baada ya primary, tulitengana!
Tulikuja kuonana wakati yupo chuo kikuu (mwaka wa pili).
Ofcoz tulianzia tulipoishia, japo hatukufika mbali sana sababu anamchumba wake. Huwa tunakumbushia mara moja moja kwa heshima ya hisia zetu lol
Hhheheheeh...mi nlikua na miaka 9 na wala nlikua sijui maana ya kupenda wala kutamani alivyohamia shuleni kwetu.Alikua mvulana pekee nliekua namwazima vitabu vyangu alafu alikua anapenda kuniomba nimsaidie hesabu.Alikua akiwa karibu yangu nahisi joto la ajabu....akipita karibu na nilipo na marafiki zangu kama nlikua naongea nanyamaza mpaka apite....akiniomba nimweleweshe hesabu najitolea kufanya ubaoni na wengine wakiwepo ili tusiwe wenyewe tu.Sekondari tukafaulu kwenda shule moja ila sikukaa sana nikahama.Baada ya kuhama mpaka leo na kesho hua namuota sana...sijui kwanini!!Tulikutana tena 2007 nilipoenda nyumbani na yeye akiwa likizo....siku zote nilizokuwepo tulikua tunazunguka wote.Hata nikienda kwa ndugu zangu kusalimia....ila tuliishia kushikana mikono na kupiga story mpaka usiku wa manane tukiwa tumelala nj kwenye majani huku tukiangalia mbalamwezi!!!Cant wait to see him again....sijui atakua kashapata mchumba!!
dearest nina mazungumzo na wewe....naona kama siku zako za kuhesabu zimeisha.....l.o.l
Tabia mbaya kutembea na mke wa mwenzako....kama mlipendana sana simngeoana???Mzuanda
Wewe ni mkareee!
Hii ni stori yangu, nilichelewa kuingia darasani (darasa la kwanza) kidogo wakati wenzangu walikuwa weshaanza masomo.
Nilikuwa na miaka 8, siku niliyoingia nilipangiwa benchi la nyuma kabisa, wakati tunataka kutoka siku hiyo nilimuona huyo mtoto.
Anaitwa "Nic", nilipata vihisia ambavyo sikuwahi kijisikia hivyo kabla mbele ya watoto wakike.
Nilimfuata, nikamwambia "wewe ni mchumba wangu"... akacheka tu!
Toka siku ile takaanza uchumba rasmi, na darasa lote lilifahamu hilo.
Niliendelea nae kwa mpaka darasa la saba japo hapo katikati kuna vijimambo vilijitokeza so kukawa kuna kuachana na kurudiana.
Darasa la saba aliniandikia barua rasmi ya kunitamkia kuwa "ananipenda" unaweza ku-imagine hiyo barua... lol.
Mazingira yalibana hatukuwezaga ku-du.
Baada ya primary, tulitengana!
Tulikuja kuonana wakati yupo chuo kikuu (mwaka wa pili).
Ofcoz tulianzia tulipoishia, japo hatukufika mbali sana sababu anamchumba wake. Huwa tunakumbushia mara moja moja kwa heshima ya hisia zetu lol
Hahahahhaa....dearest ntahitaji mtu wa kuniwakilisha kwenye mazungumzo???Naogopa kukutwa na hatia!!!Alafu we mbona hutuambii kuhusu yule aliyekua anakutungulia mapera....!
Mapera yanatunguliwa au yanaanguliwa?
Hhheheheeh...mi nlikua na miaka 9 na wala nlikua sijui maana ya kupenda wala kutamani alivyohamia shuleni kwetu.Alikua mvulana pekee nliekua namwazima vitabu vyangu alafu alikua anapenda kuniomba nimsaidie hesabu.Alikua akiwa karibu yangu nahisi joto la ajabu....akipita karibu na nilipo na marafiki zangu kama nlikua naongea nanyamaza mpaka apite....akiniomba nimweleweshe hesabu najitolea kufanya ubaoni na wengine wakiwepo ili tusiwe wenyewe tu.Sekondari tukafaulu kwenda shule moja ila sikukaa sana nikahama.Baada ya kuhama mpaka leo na kesho hua namuota sana...sijui kwanini!!Tulikutana tena 2007 nilipoenda nyumbani na yeye akiwa likizo....siku zote nilizokuwepo tulikua tunazunguka wote.Hata nikienda kwa ndugu zangu kusalimia....ila tuliishia kushikana mikono na kupiga story mpaka usiku wa manane tukiwa tumelala nj kwenye majani huku tukiangalia mbalamwezi!!!Cant wait to see him again....sijui atakua kashapata mchumba!!
Huwa tunakumbushia mara moja moja kwa heshima ya hisia zetu lol[/COLOR][/SIZE][/CENTER][/FONT]
Duh kwa hiyo bado mnakumbushia???Duh! Mmenikumbusha mbali sana!! Niliewahi kuwa nae utotoni mpaka darasa la saba na nilimpenda kweli ila nilipoingia o-level tukapoteana coz nilihama mkoa!!
Nilikuja kukutana nae kwenye semina moja hivi Morogoro inayohusu watumishi wa umma mwaka jana mwezi wa tisa!!! Hahahahahaaaaaa!!!! Nacheka coz kilichotokea sikuamini, mbele za watu alinikumbatia na kuniuliza kwa nini nilimkimbia huku analia!!!??
Nashindwa nisemeje lakini kilichofuata ni alihamishia mizigo yake room kwangu na kuwa pamoja kipindi chote cha semina na kufanya kile tulichoshindwa enzi za utotoni. Nilikuja gundua badae kumbe ni mke wa mtu ana ana mtoto mmoja
Yeye amefanikiwa saaaana ni msomi pia na anavutia sana!!!! Kama si kuolewa.........!!!? Tunaendelea kuwasiliana mpaka leo.
Simaanishi yule mliochakachuana, mpenzi ninayemsema ni yule wa enzi zile za kidali poo, kombolela,kucheza ule mchezo wa baba na mama au kama mnakumbuka ule wimbo wa " NILONGE NISILONGEEE!!!!, MWENZENU MZUANDA,MCHUMBA AKEE NI ....." wakishakutajia jina la mchumba ako, unajifanya unalia kumbe huku karoho kanakudunda. i think ni age between 6-10.
Hii inatokea automatic una m fancy mtoto mwenzako (enzi hizo tulikuwa tunasema mchumba) ambaye unadhani atakuja kuwa mume wako, then maisha yanawatenganisha( bila ya mmoja kuwa na maumivu au kumuwaza mwenzake).
Inakuwaje ukikutana na mchumba wako wa utoto baada ya miaka? je yupoje?still anakuvutia kama enzi zile?mnene? au kama alikuwa mnene enzi za utoto,je amepungua? je amefanikiwa kimaisha? maisha magumu?
Sijawahi kukutana na wa kwangu uso na macho,ila namuona tu kwenye kideo, amekuwa comedian... ha ha ha, kind of choka mbaya japo nadhani anajituma.
Wish him all the best.
wakubwa tumeelewa.
mlivyofika huko mkabanjua amri ya 6?Mie nilikuwa kama 10 hv ila huyu wa kibaba na mama, na alikuwa akipangiwa mama mwingine anaondoka.nilimpenda ila wakaondoka na family yake kwenda kuishi nje ya nchi.Yeah wangu! tangu kipindi hicho nikajakutana nae ukubwani kwenye ndege tunaenda arusha hiyo mwaka juzi tulivyofika huko tena heeeeeeeeeee.......%^&*$#@)(*&&....LOL