FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
My childhood crush was kwa huyu kijana sijui ilikuwaje alikuwa mkubwa sana kuliko mimi,kama 18-21, na mie nilikuwa 13 yaani nilimpenda huyu mkaka sijawahi ona mpaka nikawa napoteza hamu ya kula, na kwenda nyumbani ni lazima upite kwao yaani nikimuona yupo nje najikwaa hata mara nne. sikuwahi kumwambia na wala yeye hakuniambia mpaka tulihama mtaa na mpaka leo sijawahi muona tena
Namtafuta nikimpata na kama yuko single
mmmhhh ..
Sitaki mtu yeyote anipe
lecture kwa nililosema...
asanteni
AD
namkumbuka vizuri,aliitwa Halima M.......nakumbuka nilianza shule af nikarudia kama mara mbili for some familiy reasons so baada ya ku-resolve siku naanza shule rasmi na yeye akawa anaanza.wazazi wetu walikuwa wanafanya kazi pamoja s aliletwa home asubuhi na mamake afu nikaachiwa 'kaka mkubwa' mwenyewe niende nae shule.nakumbuka njiani tulianza kwa kushikana mikono,af sijui nin kilipelekea kukumbatiana tukiwa tunatembea,yani hadi shule hivohivo.watu walituita wachumba tukafurahi kwelikweli,tukaruhusiwa hata kutembeleana peke yetu(ofkoz kinguo nguo ilikuwemo,na kidogo advanced - blame our then house girl for this!).nasikia ameolewa hapo dar na jamaa linamnyanyasa mbaya!maisha bana...
Namtafuta nikimpata na kama yuko single
mmmhhh ..
Sitaki mtu yeyote anipe
lecture kwa nililosema...
asanteni
AD
Thanks sana AD.
Hey, Asha D, Lizzy n' Kisukari....
Nadhani kwa hili msimamo wangu ni kama wa Afro D
Lol.
Vitu vingine havielekezeki.
unaweza kuwa so suprise ukishamuona na wala usimtamani tena, si unajua jinsi maisha yanavyobadilisha watu.
mi wangu hata si mtamani na ustar wake wa kibongo bongo,na wala si wish kukutana nae uso kwa uso na kila nikimuona najiuliza maswali kibao.
Thanks sana AD.
Hey, Asha D, Lizzy n' Kisukari....
Nadhani kwa hili msimamo wangu ni kama wa Afro D
Lol.
Vitu vingine havielekezeki.
You should have initiated a chain reaction right away. Remember, a golden chance never come twice! I hope u meet him someday coz it seems u will be the happiest woman alive!
Kule kwetu ukiwa chini ukatumia mti kuyaangusha unakua unatungua...ukipanda mtini ndio unaangua!!!
Hahahah....yanazaliwa!!!Na mayai yanatunguliwa ama yanaanguliwa?
Hahahah....yanazaliwa!!!
Hivi ehhhh???Mayai yanatagwa bana.....
Hivi ehhhh???
Na vifaranga hua vinafanywaje??
lol...lol...lol.... I believe tunaruhusiwa kufurahi.... Best of luck if you meet again... what i have picked up is she has to be one special lady...
Pia vinaanguliwa....Hivyo hutotolewa....