...mnh, kwa sredi hii nimethibitisha tatizo lipo deep kuliko nilivyokuwa nafikiri.
Yaani nyie umri huo wa shule ya vidudu tayari mlishaanza 'matusi?' lol!!!!:hail:...
mi nilipokuwa std2 at 8yrs nilikuwa namtamani mwalimu wangu...she was so sweet. akahama shule mpaka leo sijui alipo.
...mnh, kwa sredi hii nimethibitisha tatizo lipo deep kuliko nilivyokuwa nafikiri.
Yaani nyie umri huo wa shule ya vidudu tayari mlishaanza 'matusi?' lol!!!!:hail:...
mbaya zaid hata yeye alikuwa ananipenda, kuna siku aliingia darasani kulikuwa kuna fujo balaa zile za ki primary..basi akawachapa woote alipofika kwangu akanipita......ha ha ha haaaa!!!....e bana weee!
Loh.....labda ndo maana alihama kwasababu alikua anaumia kukuona kila siku wakati hawezi kukupata!mbaya zaid hata yeye alikuwa ananipenda, kuna siku aliingia darasani kulikuwa kuna fujo balaa zile za ki primary..basi akawachapa woote alipofika kwangu akanipita...
sio siri, nampenda mpaka leo.
Hapana zile za utoto ni hisia za kawaida za kitoto nadhani woote wenye utashi wanapitia tht stage, na huwezi ukawa umemweka kuwa vile alivyokuwa kitoto ndivyo atakavyokuwa kwenye utu uzima, kwani katika utoto nadhani formula ni moja tu, girl likes boy, boy likes girl...
Ukubwani unavutiwa na mengi maana umeshapevuka, ila kama huyo wa primary ulivuka naye hadi sekondari labda...
Mimi baba alikuwa mtumishi wa SU so kuhamahama nilimalizia Monduli huko, mdogo darasa zima na njemba zote zilikuwa tayari ni morani, I didn't fancy anybody!
Nakwambia nikiwekewa chakula nashindwa kula.mama angu alinipeleka hsptl akidhani ninaumwa.yaani yule mtoto sijui yuko wapi sijawahi hata kumuona ila namuonaga tu kaka yake ni mkubwa hapa nchini kwenye matv na ndio alikuwa anakaa kwake.gaga miaka 13 unakosa hamu ya kula?:biggrin1: