Ulishawahi kufaidika na warranty?

Ulishawahi kufaidika na warranty?

Raia Fulani

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2009
Posts
11,478
Reaction score
3,659
Nimeharibikiwa na friji yangu mpya yanye warranty ya 24 months. Nimepeleka service center hatimaye nikaambiwa nitoe laki. Warranty bado haijaisha. Lipi lengo la hii kitu?
 
Back
Top Bottom