Mtanzatozo
JF-Expert Member
- Mar 2, 2016
- 971
- 1,165
habari wandugu namshukuru mungu kwa afya njema yenye furaha, naomba ku share mawazo nanyi ikiwa kama sehemu ya maisha yetu ya kila siku.
Mimi naamini kila binadamu ni mkosefu kwa namna yake, na naamini yapo makosa ya kila siku ambayo tunayatenda asilimia kubwa kwa kila binadamu.
Natamani sana siku nipate nguvu ya kuacha dhambi zangu na kumuomba radhi kila mtu niliyemtenda iwe kwa kukusudia au kwa bahati mbaya.
Kama na wewe unaamini mkosefu na una imani ipo siku kinywa chako kitatamka makosa yako iwe ulifanya DHULMA, ULINYANYASA, ULIIBA na dhambi nyinginezo bila kusita.
UKUMBUSHO NI KWA WALIOAMINI, WEKA NAFSI YAKO HURU KABLA YA KUPATWA NA UMAUTI