Ulishawahi kufumania,je hali ilikuwaje?

Ulishawahi kufumania,je hali ilikuwaje?

holoholo

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2023
Posts
1,859
Reaction score
2,986
Wanajamvi, tujadili hapa,ushawahi kumfumania mke wako au mume wako,mpenzi wako akifanya mapenzi na mtu mwingine? Hali ilikuwaje? Toa ushuhuda wako.
 
Dem Alishanikutaga na mwenzakee geto ,jinc alivyomkuta mwenzie n pic kuliko yy aliishia tu kuniamkiaa kaka shikamoo ,alafu aliondokaa cjawahi muona tenaa jmn n mwaka wa kumii huu
pole sana mkuu,uliendelea na shughuli au stimu ilikata?
 
Back
Top Bottom