Ulishawahi kufumaniwa au kufumania tupe mkasa wako

Ulishawahi kufumaniwa au kufumania tupe mkasa wako

Roca fella

JF-Expert Member
Joined
May 13, 2023
Posts
2,077
Reaction score
4,152
As salaam alaikhum ndugu Wana familia wa JamiForums

Katika maisha Kuna visa vingi hutokea na kila mwanadamu huwa ana kisa au stori ambayo katika maisha yake au mazingira anayo ishi humtokea

Siku hizi tumeona ukatili kisa fumanizi la mke wa mtu au mume wagoni wamekuwa wakifanyiwa ukatili ikiwemo kufanyishwa ngono KINYUME na maumbile, kupigwa mapanga, kuchomwa moto, kuchomwa kisu, nk

Wadau tupe kisa cha fumanizi ikiwa ni stori kwa lengo la kufundisha wengine kukomesha hiyo tabia ya kutembea na mume au mke wa mtu.

Screenshot_20240731-175135_(1)_(1).png
 
Nilishawahi.

Na huyo kweny Hiyo Picha ni mimi
 
Back
Top Bottom