bryan2
JF-Expert Member
- Jun 8, 2016
- 3,323
- 4,679
Kuna haka katabia Shuleni/vyuoni ka kuhisiana maspy/wapelelezi wa walimu Sijui wanafunzi wanatumiaga vigezo gani kuita wenzao Maspy wa walimu unaweza kuchukiwa na shule nzima au hata kutengwa kabisa kisa wanakuhisi spy.
Nakumbuka Skuli moja tukisoma Wanafunzi wa mbele yetu wakawa wanatuhisi sisi ni maspy wa walimu ati tunawaambia walimu mambo yao aisee walituletea shida na kupiga wanafunzi wenzetu wengi tu.
Je wewe umewahi kuitwa/kuhisiwa Spy katika harakati zako za kutafuta Elimu??