aisee hakuna kuna watu wengine walikua peace sana ila baadhi ya watu wanaamua kukuchafua tu ni sawa unaitwa Mchawi wakati hata huo uchawi hujui.Daah ukiona hivo ujue kweli ulikuwa m'mbeya m'mbeya hata hueleweki. Ni ngumu sana kama upo fresh na wana kuhisiwa hivi. Ingawa maspy walikuwa wanalipwa buku 5 wakiripoti kwa walimu. Kishuleshule ilikuwa kubwa sana.
Akili zako mbona mm cizionagiMimi nilikua napendwa sana na walimu!
Mrembo
Nina akili
Msafi
Hivyo nilikua karibu sana na walimu, wenzangu wakawa wananihisi spy ila jeuri ya kunitenga hawakua nayo maana nilikua pedeshee wa darasa
Sina shimo mmZiko kwenye shimo lako utazionaje??
hahahhahhhahahAkili zako mbona mm cizionagi