Ulishawahi kukijaji kitabu kulingana na kava lake?

Ulishawahi kukijaji kitabu kulingana na kava lake?

Deadbody

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2015
Posts
4,274
Reaction score
6,595
Kwa mfano kitabu kina picha iliyokugusa au Picha iliyokukera kabisa na mengine mengi yanayofanana nayo.
Ni kitu gani kilikufanya usome kitabu hiko?

KARIBUNI
 
Back
Top Bottom