Ulishawahi kukimbiwa na kuachiwa bili mezani? Ilikuaje?

Kuna siku mwaka jana saa 12 alfajiri nimekutana na dada mzuri karibu na ofisi za jiji Posta, katoka Harbor view hotel. Mwamba itakuwa hakumpa nauli bibie anauliza wapi anapandia Pantoon.

Nikamuelekeza na kumpa option ya bajaj maana alikuwa kapendeza sana, akaomba aonyeshwe uelekeo wa kutembea.
 
Mwaka 2015 kipindi cha kampen za urais,(mabadiriko lowasa)likajichanganya buzi,likanisaundisha nami nikajaa,tukaenda sehem tulivi bin sawia,lile liheshimiwa fulu kujimwambafai,mie sipend sana izo tabia,lilopolewa sasa,kila likibanwa kojo dubwana lake linasimama kama la MBAPE,mie kitundu kidogo nikapima nikaona ntashindwa kutembea,nikaanzisha vitimbi vya apa na pale,atimae liheshiwa likakinukisha,vulumai likazuka pakawa apatoshi tena,mie nikautumia huo upenyo,umenikumbusha mbali saaana
 
Hata mimi nimemkubali mwamba. Wanapata wapi ujasiri wa kubeba kipima-joto na wanja. Unakunywa unachoweza kulipa hata likitokea lakutokea kunakuwa hata hakuna tukio.
 
Hata Mimi utaweza kusoma mood yangu
Niko makini Sana kwenye hilo,kwanza naangalia Aina ya kinywaji unachokunywa, speed yako ya unywaji,maongezi yako, comfortability yako, naangalia mazungumzo je tunazungumza lugha moja?hapo naweza kujua game linaendaje...nikiona sikuelewi elewi mie huyo naomba zangu Coca-Cola bariiidiiiiii
 
Umeandika nini hapa sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…