Lazaro Samwel
Member
- Apr 27, 2019
- 33
- 26
Nakumbuka mwaka 2014 wakati nafanya biashara ya mtandao na kampuni moja kubwa tuu nilikuwa napata shida sana ya kuweza kuongea na wateja niliokuwa nawapata kupitia simu yangu.
Unakuta unapata wateja lakini hakuna mwongozo wa namna ya kuweza kuongea naye kufunga mahesabu.
Lakini pia kilichokuwa kinanikera zaidi ni kwamba mteja anaponiambia “Nimekuelewa nitakutafuta...” na mimi niikuwa nikikubaliana naye tuu..
Au mteja akiniambia “Ningependa kufanya hii biashara lakini sina muda....” pia nilikuwa nikijingata sana kuweza kumshawishi kuanza kufanya biashara nami.
Hii ilikuwa ni kwasababu sikuwa na mwongozo wa namna ya kuweza kuongea na wateja kupitia simu na hata uso kwa uso.
Mwaka 2014 mwishoni nilipoanza kutafuta maarifa na kufanyia kazi kwenye biashara yangu mambo yalibadilika sana na hata mauzo ya bidhaa niliweza kuyafanya kwa wepesi sana.
Hii ni changamoto ambayo inakumba wafanyabiashara wengi sana.
Maana wengi hatujui mteja anaposema kitu fulani ni kwa namna gani tunapaswa kumjibu...
Swala la mteja kusema kwamba bidhaa zako ni za bei kubwa,hana muda,au ana hela kidogo haweza kufanya biashara ni vipingamizi ambavyo vinaweza kujibika endapo utapata mwongozo sahihi wa kujibu na kusoma saikolojia ya mteja nyuma ya vipingamizi ambavyo anavitoa.
Kwasababu najua kuna wafanyabiashara wengi ambao inawezekana wanapitia changamoto kama hii ambayo mimi nilishapitia niliona hautakuwa vyema kunyamaza kimya katika hili.
Ndio maana nimekuandalia hii EBOOK inayoitwa VIPINGAMIZI NA NAMNA YA KUVIJIBU ndani yake utajifunza namna ya kuweza kuongea na mteja kulingana na vipingamizi anavyotoa na mwisho wa siku uweze kufunga mahesabu.
Kitakusaidia pia katika kuisoma saikolojia ya mteja nyuma ya vipingamizi ambavyo vinajitokeza ili mwisho wa siku uweze kufunga mahesabu.
Uzuri ni kwamba leo na utakipata kitabu hiki kwa ofa ambayo hautategemea kabisaa.
Kikawaida kabisaa bei ya EBOOK hii ni 5,000/= lakini leo hii utakipata kwa 3,000/= tuuu
Unachopaswa kufanya ni fanya malipo kwenye namba moja wapo kati ya hizi; 0678010334 / 0753616584 / 0683911049
Ukishafanya malipo yako tuwasiliane INBOX/DM
Nami nitakutumia mara moja.