Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Ulishawahi kukutana na mpenzi mtamu?
Kumuacha huwezi;akikukosea, wewe ndio unaona mwenye makosa unamuomba msamaha..
Kwenye yale mambo sasa,ndio usiseme ni kama amebarikiwa,sawa na unga wa ngano unavyovutika.
Mikao ya kila namna anajituma ili tu wote mfurahie mlichokitegemea.
Kidume unajikuta unaropoka tu,sema unachotaka nikuhudumie...
Ilishawahi kukutokea?