Ulishawahi kukutana na mpenzi mtamu?

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
33,679
Reaction score
49,841
Ulishawahi kukutana na mpenzi mtamu?
Kumuacha huwezi;akikukosea, wewe ndio unaona mwenye makosa unamuomba msamaha..
Kwenye yale mambo sasa,ndio usiseme ni kama amebarikiwa,sawa na unga wa ngano unavyovutika.
Mikao ya kila namna anajituma ili tu wote mfurahie mlichokitegemea.
Kidume unajikuta unaropoka tu,sema unachotaka nikuhudumie...
Ilishawahi kukutokea?
 
VP mzazi bado hajapata tu ada urudi shule

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usinikumbushe aisee. Ilikuwa tarehe 6/1/2020 mdada mmoja singo maza anaishi tabata alikuja kwao likozo ya krismas. Ile anarudi nikamwambia adrop mwanza tuonyeshane ubavu. Nikampokesa jioni ya saa moja usiku. Kwa vile nlikuwa na familia nisingeweza kulala huko nikala mzigo hadi saa nne nikasepa. Ila tu nikaona ni fundi kuzidi, yaana anashugulika hadi anapitiliza. Basi nikamwambia kesho nakuja saa mbili asubuhi. Kulipokucha kweli kwenye saa tatu hivi nikatia tim. Nikahakikisha kala kashiba na mm niponjema mzigo ukauma hadi saa 12 jion mi nikawa sijiwezi na yeye hana nguvu kabisa. Nikamuaga nikaenda hom basi usiku nimepanda ghorofani msosi tukagonga tukafanya ibada, ile nateremka kwenda kulala magoti yakawa hayana nguvu ya kubeba mwil . Ikabidi nishuke kwa kuegemea ukuta kesho yake sikuweza kupandisha ngazi magoti hayana nguvu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijui kwanini haya maelezo yamenitia nyege
 
Kawaida mkuu,ukitoa magoli mengi ute wa kwenye magoti huwa unaisha.
 
Hamida
Your browser is not able to display this video.


Jr[emoji769]
 
Hi ndio sababu ya kushuka viwango vya wachezaji hapa nchini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…