Ulishawahi kukutana na mtu mwenye ugonjwa wa Low Latent Inhibition: Fahamu ugonjwa wa Low latent inhibition

This is what makes great thinker na hii forum jamii intelligent is the best of all. Kuna wakati wanaingilia watu wasiofikiri wala kuleta fact zaidi ya ubishi tu wa kifikra usiokuwa na evidence yoyote. Ningekuwa admin ningeweka rules za kuingia jamii intelligent wawe wanaingia watu magreat thinker na sio kila mtu awe na access kwenye upande huu. Hapa wanatakiwa watu kama wewe l, eliya,rakims na wengine wengi wanaoleta mada fikirishi na zenye elimu kubwa ambayo katika mfumo wa elimu wa kawaida kuna mambo huwezi kuyapata ama utayapata kwa kiwango kidogo sana au tofauti na uhalisia.

Big up mkuu Da'Vinci'
 
Kibongo bongo vitu visivyokua na maana na wanaovipost ndio hupata Airtime ila ukipost vitu kama hivi hua havina maana. Ndio maana kazi ya uandishi bongo haina faida kabisa labda uandike Umbea wa mastar.

Ahsante kwa Big Up mkuu, One Day will prevail 🙏
 
I'm writing something about them..
Amazonian
Japo ni miaka miwili imepita ila bado sijasahau ahadi yangu. I'm still working on it and I want it to be thrilling and perfect. I hope you're gonna like it!

Coming Soon.....!
 
Kudos kwako mleta mada...
I've read every word in this article...
 
Kupitia hili limenipa mtazamo mwingine kuwa elimu yetu ina shida pahala watu kama nyinyi wanabaki tu kufanya pet issues wakati elimu ingetambua potentiality yako nadhani ulipaswa kuwa somewhere unakuwa busy kufanya mambo makubwa yatakayolisaidia taifa. Siyo unabaki mtaani mwisho wa siku watu wanaiona potentiallity yako wanatamani uwagawie mbegu tu. Kama nilimcommentia vibaya yule mdada aliyekuomba umzalishe anisamehe bure, kuna kitu kikubwa sana amekiona juu yako ambacho wengine hawawezi kukiona pia taratiiibu naanza kukiona mkuu.

Najua umesoma kati ya hizi combination
PCM, PCB au PGM ambazo hata kama zinakupa ugali ila kuna kitu unajiona umepungukiwa kwa maana akili haitumiki kwa asilimia kubwa labda kama utakuwa umejikita kwenye technolojia.
 
Mkuu ni tag subconscious mind Uzi siuoni mkuu
Here you go....


 
Mkuu kwanza umenichekesha sana japo umeongea vitu vya kusikitisha🤣🤣🤣
Nataman sana kazi za uandishi coz I have a lot of things in my head. Sema ndo ivo mkuu bongo bahati mbaya hasa ukiwa umetoka familia zetu hizi za kifukara.

Huyu dada hata sijui kaona nini mbali na upole na utulivu anaousema.
Najua umesoma kati ya hizi combination
PCM, PCB au PGM ambazo hata kama zinakupa ugali ila kuna kitu unajiona umepungukiwa kwa maana akili haitumiki kwa asilimia kubwa labda kama utakuwa umejikita kwenye technolojia.
I wish ingekua hivyo ulivyofikiri... Nimeishia 4m4😭😭😕😕
 
Basi wewe ni bonge la mtu sema basi km ulivyosema familia zetu hizi dah shida.

Hakuna hata mtu mmoja humu ambaye anaweza kufikiria kwa unachokiandika kama umekomea form four hapo mimi naiona masters ambayo muda wowote inakuwa phd😂😂
 
Basi wewe ni bonge la mtu sema basi km ulivyosema familia zetu hizi dah shida.

Hakuna hata mtu mmoja humu ambaye anaweza kufikiria kwa unachokiandika kama umekomea form four hapo mimi naiona masters ambayo muda wowote inakuwa phd😂😂
Bongo bahati mbaya sir huku ndio motoni kwenyewe. Tunabakia kuishi kwa kutafuta kula badala ya kuishi kwa kusudi Mungu alilotuumbia.(Reaching our potential)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…