Ulishawahi kukutana na UGALI ndani ya ndege!?

Ulishawahi kukutana na UGALI ndani ya ndege!?

Planett

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2014
Posts
10,497
Reaction score
16,180
Hii ni AIR INDIA flight from Mumbai To London, kama unavyoona hapo msosi unajumuisha kitu cha SEMBE. Ngoja nikate ticket ya ATCL nikaone kama kuna hii kiyu.
air india.JPG
 
Kwa hao jamaa, lazima hiyo kitu iwe imenogeshwa na pilipili
 
anaebisha acheki hapa kuanzia dk 8:12
 
Back
Top Bottom