Kilele9 JF-Expert Member Joined Jun 1, 2017 Posts 1,452 Reaction score 1,093 Mar 24, 2019 #21 Planett said: hujaajnza wewe kutilia mashaka jambo alikuwepo tomaso enzi hizo , akafa, akazikwa. Click to expand... Hujajibu swali. Umeona kinachofanana na ugali mawazo yako yakaenda kwenye SEMBE/DONA Huo si ugali.Hata huku bongo hatuli ugali kama breakfast.
Planett said: hujaajnza wewe kutilia mashaka jambo alikuwepo tomaso enzi hizo , akafa, akazikwa. Click to expand... Hujajibu swali. Umeona kinachofanana na ugali mawazo yako yakaenda kwenye SEMBE/DONA Huo si ugali.Hata huku bongo hatuli ugali kama breakfast.
macho_mdiliko Platinum Member Joined Mar 10, 2008 Posts 25,191 Reaction score 48,765 Mar 24, 2019 #22 Kilele9 said: Hujajibu swali. Umeona kinachofanana na ugali mawazo yako yakaenda kwenye SEMBE/DONA Huo si ugali.Hata huku bongo hatuli ugali kama breakfast. Click to expand... Ni kweli kabisa. Siyo ugali bali ni chakula kinachofanana na ugali. Wahindi na ugali wapi na wapi!
Kilele9 said: Hujajibu swali. Umeona kinachofanana na ugali mawazo yako yakaenda kwenye SEMBE/DONA Huo si ugali.Hata huku bongo hatuli ugali kama breakfast. Click to expand... Ni kweli kabisa. Siyo ugali bali ni chakula kinachofanana na ugali. Wahindi na ugali wapi na wapi!
Huyu Mimi JF-Expert Member Joined Apr 16, 2019 Posts 2,575 Reaction score 2,117 May 18, 2019 #23 kisu said: Hio sio ugali, ni kama vitumbua visivyokaangwa vinaitwa Idli, unaweza uka google Idli Click to expand... Tena Wanatumia mchele kuvitengeneza
kisu said: Hio sio ugali, ni kama vitumbua visivyokaangwa vinaitwa Idli, unaweza uka google Idli Click to expand... Tena Wanatumia mchele kuvitengeneza
Huyu Mimi JF-Expert Member Joined Apr 16, 2019 Posts 2,575 Reaction score 2,117 May 18, 2019 #24 kisu said: Hio sio ugali, ni kama vitumbua visivyokaangwa vinaitwa Idli, unaweza uka google Idli Click to expand... Tena Wanatumia mchele kuvitengeneza
kisu said: Hio sio ugali, ni kama vitumbua visivyokaangwa vinaitwa Idli, unaweza uka google Idli Click to expand... Tena Wanatumia mchele kuvitengeneza
NZURI PESA JF-Expert Member Joined Mar 25, 2011 Posts 5,958 Reaction score 2,954 May 20, 2019 #25 Planett said: ni mtizamo wako bro, huoni kama hicho ni kimeza cha kwenye ndege? Click to expand... Mbona hicho kimeza Kama Cha wodini/ hospitalini mkuu!
Planett said: ni mtizamo wako bro, huoni kama hicho ni kimeza cha kwenye ndege? Click to expand... Mbona hicho kimeza Kama Cha wodini/ hospitalini mkuu!