Ulishawahi kulishwa matango pori wakati unaumwa, tukutane hapa.

Jindal Singh

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2015
Posts
1,857
Reaction score
1,538
Jamani kuna watu waongo kweli duniani, utakuta mtu anaumwa halafu anatoka mtu mwengine anakwambia eti Jaribu kuchemsha bunda la mpapai utapona.
Kuna jamaa mmoja nilimkuta akichemsha majani ya nanasi kaambiwa kuwa ni dawa ya kibofu. Na wengine huambiwa kuwa ukichemsha mbao zile za 2×2 za kupaulia nyumba maji yake yana tibu maradhi mbali mbali. Tena haswa kwenye jino ndio kuna balaa kuna mmoja aliambiwa alale na mswaki wa mti hadi asubuhi.
 
Huyo alieambiwa achemshe mbao atakua ni SIMBA FC
 
Ukiumwa haswa mkuu kila ushauri utaufanyia kazi!
Ushawahi kukutana na mtu alikuwa na magonjwa ya ajabu na ukimuuliza aliponaje anakujibu hata hajui kilichomponya sababu katumia dawa za kila aina na aina!
Miti na mime vyote ni dawa ndo maana hata kuku na wanyama wanaokula nyama hula majani pia!
 
Kweli ila mimia mengine siyo.
 
Ukitaka kujua kuwa unakaribia kufa uliza dalili ya unachoumwa google hata kama ni jino utaambiwa kansa.
 
me niliambiwa nnywe supu ya chuma chakavu ili nipone kaswende
 
Back
Top Bottom