Jindal Singh
JF-Expert Member
- Sep 9, 2015
- 1,857
- 1,538
Huyo alieambiwa achemshe mbao atakua ni SIMBA FCJamani kuna watu waongo kweli duniani, utakuta mtu anaumwa halafu anatoka mtu mwengine anakwambia eti Jaribu kuchemsha bunda la mpapai utapona.
Kuna jamaa mmoja nilimkuta akichemsha majani ya nanasi kaambiwa kuwa ni dawa ya kibofu. Na wengine huambiwa kuwa ukichemsha mbao zile za 2×2 za kupaulia nyumba maji yake yana tibu maradhi mbali mbali. Tena haswa kwenye jino ndio kuna balaa kuna mmoja aliambiwa alale na mswaki wa mti hadi asubuhi.
Amini hivyo.Huyo alieambiwa achemshe mbao atakua ni SIMBA FC
Kweli ila mimia mengine siyo.Ukiumwa haswa mkuu kila ushauri utaufanyia kazi!
Ushawahi kukutana na mtu alikuwa na magonjwa ya ajabu na ukimuuliza aliponaje anakujibu hata hajui kilichomponya sababu katumia dawa za kila aina na aina!
Miti na mime vyote ni dawa ndo maana hata kuku na wanyama wanaokula nyama hula majani pia!
Kama sio kwa binadamu basi itafaa kwa kuponya ndege na wanyama mkuuKweli ila mimia mengine siyo.