Ulishawahi kumuota nani humu JF?

Kuna member wa kike nimuota, sina mazoea naye, huwa simfikirii kwa lolote ila nilimuota na ni member pekee wa jf niliyewahi kumuota. Sijui ilikuwaje hadi nikamuota.
 
Jamani mchumba, Nisamehe mimi jamani!
Ukininunia nitaishije humu ndani akii, nitaambia nini watu mimi jamani!!
unapenda sana kunitesa.
Utaja niua kwa presha ujue😞
 
Mweeeeeh!! Kwamba ukaota kuwa ni wapenzi wako? Au nimesoma vibaya[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…