Mtaje.
Siri yangu..asije akavimba kichwa bure.Mtaje.
Bila shaka atakuwa Me.Siri yangu..asije akavimba kichwa bure.
😂😂😂
Ilinipita hii bwana ndio naona leo, sema umetisha sana Dada duu
#sleikwini
😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]bora zikuputege tu.
Raha ya kuwa anonymous
#ndotohizitamu
Muoe superbugYana2 na mahondaw nimuoe Nani ?
AsanteMuoe superbug
Nime miss kuona macho yako mazuri bebe 😍😍
Usipokua na hela unaota hata watu uso wajuaKuna member wa kike nimuota, sina mazoea naye, huwa simfikirii kwa lolote ila nilimuota na ni member pekee wa jf niliyewahi kumuota. Sijui ilikuwaje hadi nikamuota.
Utafiti wa kisayansi umethibitisha kuwa kamwe hauwezi kumuota mtu ambaye huyawahi kumuona ama kumsikia.